
Kwangwaru ni mix moja kali sana.
Jina Kwangwaru limetokana na wimbo wake Harmonize Kwangwaru ambao ulienea East Africa kwa mpigo.
Mix ya Dj Lyta ya Kwangwaru ni mojwapo wa Bongo mixes ambazo huskizwa sana sababu ya selection ya muziki.
Mix ina ngoma kali kali kutoka Tanzania na Kenya
Wasanii waliochezwa ni Willy Paul, Harmonize, Ray Vanny, Lava Lava na wengine wengi.
Download
